" KAMBI MAALUM YA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA KUANZA KESHO JUMATATU KATIKA MKOA WA SHINYANGA

KAMBI MAALUM YA MADAKTARI BINGWA WA MAMA SAMIA KUANZA KESHO JUMATATU KATIKA MKOA WA SHINYANGA

Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga wanatarajia kunufaika na huduma za kibingwa kupitia Kambi Maalum ya Madaktari Bingwa ya Mama Samia itakayofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 29 Juni, 2025 katika hospitali zote za halmashauri sita za mkoa huo.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, kambi hiyo imelenga kutoa huduma mbalimbali za afya kwa ushirikiano wa madaktari bingwa na wataalamu wa afya, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuboresha huduma za afya kwa wananchi.

Wananchi wote wanahimizwa kujitokeza kwa wingi kufuata huduma hizo bila malipo, huku wakizingatia maelekezo ya wataalamu wa afya kwa ajili ya ustawi wao.

 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA


Post a Comment

Previous Post Next Post