Santa Edwin Pre & Primary inatangaza nafasi za masomo Kwa muhula wa Tatu , 2025
Shule ya Santa Edwin Pre & Primary yenye usajili Namba EM 19592 iliyopo Majengo Mapya Nyegezi, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana, Jijini Mwanza inatangaza nafasi za masomo Kwa watoto wanaohamia Kwa muhula wa Tatu, Kwa Mwaka wa masomo 2025 .
Tunapokea watoto wa madarasa yote kasoro darasa la Nne na La Saba.
Shule Ina walimu mahiri kwa masomo yote na inatoa malezi Bora Kwa watoto, nyezo Bora za kujifunzia na usafiri Kwa watoto wa kutwa.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba .
0747840336
0768247274
0786349813
Wote mnakaribishwa
Post a Comment