Na Respice Swetu, Misalaba Media -Kasulu
Kikosichawanamichazo120washulezamsingizamkoawaKigoma,kinatarajiakuondokawilayaniKasuluIjumaahiiyaJuni6,kuelekeamkoaniIringakushirikimashindanoyaumojawamichezonataalumakwashulezamsingiTanzaniaUMITASHUMTAitakayoanzakurindimamjiniIringatarehe7,mwezihuu.
Akizungumzana‘DiraMakini’mudamfupibaadayakukamilikakwamaandaliziyamwishoyaliyokuwayakifanyikakwenyeviwanjavyashuleyasekondariyaBogwewilayaniKasuluilipokuwakambiyatimuhiyo,mratibuwaUMITASHUMTAmkoawaKigomaGregoryNzuguruamesema,maandaliziyotekuelekeasafariyaIringayamekamilika.
NzuguruambayepianimwalimuwashuleyamsingiMapinduziiliyopowilayaniKibondoamesema,kutokananamaandalizihayo,wanayomatumainimakubwakuwavijanawaowatafanyavizuri.
AmeongezakuwatimuhiyoinayotokananamchujowawanamichezokutokakatikahalmashaurinanezamkoawaKigoma,itaondokanakikosichawatu135katiyaowachezajiwakiwa120namaofisa15likiwemobenchilaufundi.
“Tunatarajiakuondokanawashiriki120wamichezowavulanawakiwa67nawasichana53naviongozimbalimbali”,amesema.
MashindanoyaUMITASHUMTAambayohufanyikakilamwakakwakuishirikishamikoayoteTanzaniabaranavisiwani,huhusishafanimbalimbaliukiwemompirawamiguu,mpirawamikono,mpirawapete,mpirawakikapu,mpirawawavu,riadha,kwaya,ngoma,sanaazandaninamuzikiwakizazikipya.
KatikamashindanoyaUMITASHUMTAyaliyofanyikamwakajana,wawakilishiwamkoawaKigomahawakufanyavizurinakujikutawakiambuliaushindiwapilikwenyemichezomiwilikatikamashindanoyotenamichezominginewakipotea.njia.
Post a Comment