Na Seif Mangwangi, Arusha
Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kwa upande wa Tanzania Bara kimeteua majina 8 kwa Mkoa wa Arusha ya wagombea nafasi za Ubunge wa Viti Maalum ambapo Miongoni mwa majina hayo ni Chiku Athuman Issa, Meneja wa Zamani wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini.
Chiku Athumani Issa ni:
1. Mjumbe wa kamati ya Uchumi, Mpango, Fedha UWT Taifa
2. Mjumbe wa Mkutano UWT Taifa
3. Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji wilaya Arusha jiji.
Post a Comment