🟢 JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA – FURSA YA KIPEKEE KWA WANAOTAKA KUA MABINGWA WA MADINI, MAFUTA NA GESI
Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga - ESIS) kinapokea maombi ya kujiunga kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
Ikiwa unatafuta elimu bora, mazingira rafiki ya kujifunzia, na maarifa ya kitaalamu katika sekta ya madini na mafuta – basi ESIS ni mahali sahihi kwako.
🎓 KOZI ZINAZOTOLEWA:
✅ Utafutaji na Uchimbaji wa Madini (Exploration and Mining Geology)
✅ Jiolojia ya Mafuta na Gesi (Petroleum Geology)
✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor-made Short Courses)
💸 MIKOPO YA SERIKALI (HESLB) INAPATIKANA
Wanafunzi wenye sifa za kupata mkopo kupitia Bodi ya Mikopo ya Serikali (HESLB) wanahimizwa kuomba. Tunawasaidia kwa ukaribu katika mchakato wa maombi!
📍 FAIDA ZA KUSOMA ESIS:
✔ Mazingira rafiki ya kujifunzia
✔ Mafunzo kwa nadharia na vitendo (field & lab)
✔ Vifaa vya kisasa na walimu waliobobea
✔ Ushirikiano na taasisi za sekta ya madini
✔ Nafasi za ajira na kujiajiri ni kubwa
📝 TUMA MAOMBI SASA
👉 Kupitia tovuti: 🌐 www.esis.ac.tz
👉 Kwa msaada wa karibu, piga simu:
📞 +255 765 434 604
📞 +255 766 405 653
📞 +255 687 434 617
Post a Comment