" MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 15, 2025

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 15, 2025

   

    

           

      



KARIBU CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA)

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA



Kama kuna mtu anayejua maana ya kushindwa kifedha hadi unashindwa kutuma salamu kwenye WhatsApp group, basi ni mimi. Nilikuwa yule mtu ambaye kila akikosa hela ya kodi, dawa au hata chakula, anaingia kwenye group la familia na kuandika: “Jamani, naomba msaada kidogo wa hali na mali.”


Nilikuwa na degree mkononi, lakini sikuwa na kazi. Nilihangaika huku na kule kutafuta ajira hadi nikazoea kusikia maneno kama “tutakupigia” au “tutakujulisha.” Muda ulienda, presha iliongezeka, na maisha yalikuwa yanazidi kuwa magumu kila kukicha.

Siku moja, kulikuwa na harusi ya binamu yangu. Kwenye group la familia, watu walikuwa wanajitokeza kutoa misaada: “Mimi nitatoa viti”, “Mimi nitatoa soft drinks.” Mimi niliandika tu: “Nipo tu kwa maombi.” Moyo wangu ulivunjika. Nilitamani angalau nitoe hata redio ya kusikiliza muziki, lakini hata nauli ya kwenda harusini sikuwa nayo.

Nilikuwa nimechoka. Kila mtu aliniona kama mtu wa kuombwa. Sikuweza hata kushika pesa bila kuwa na deni tayari kichwani. Watu waliniona wa kawaida, lakini ndani nilikuwa nimejaa huzuni, aibu, na ndoto zilizokufa.

Mpaka siku moja, rafiki yangu wa karibu alinambia: “Ndugu yangu, si kila kitu kinatatuliwa kwa CV. Kuna nguvu ya kiroho ambayo watu wengi wanaitumia kubadilisha maisha yao. Unaweza kupata msaada, hata bila kubadilisha sura au elimu yako.” Akanipa namba ya Kiwanga Doctors.

Nilijisemea, siwezi kupoteza kitu nikijaribu. Niliwapigia. Waliniuliza matatizo yangu, na walielewa haraka kuwa nilikuwa nimefungwa kwenye mlolongo wa mikosi ya kifedha. Waliniambia wazi: “Bahati yako ya pesa ipo, lakini imefungwa. Tunahitaji kuisafisha, kufungua njia zako za mapato, na kulinda hela zako usikose tena.”

Nilipewa maelekezo ya kufanya maombi maalum usiku kwa siku tatu, nikapewa dawa ya kuoga kabla ya jua kuchomoza, na dawa ya mvuto wa biashara na hela. Nilitakiwa kufuata kwa siri na nidhamu.

Siku ya tatu baada ya maombi, mtu niliyesoma naye zamani alinipigia na kuniambia kuna kazi ya muda wa wiki mbili wanahitaji mtu wa kusaidia kutangaza bidhaa mtaani. Nikakubali. Tulilipwa vizuri kuliko nilivyotarajia. Hapo ndipo nilianza kuona mwanga.

Kwa msaada wa Kiwanga Doctors, nikafungua biashara ya mtandaoni ya kuuza viatu na mabegi. Wakaniongezea dawa ya kulinda faida na kuongeza mvuto wa wateja. Wiki moja nikapata order nyingi sana hadi nikashindwa kutuma zote siku hiyo hiyo.

Miezi mitatu baadaye nilihama kutoka kwa kaka yangu niliyekuwa nikiishi kwake. Nilikodisha nyumba yangu. Nilianza kusaidia familia yangu kwa mambo madogo madogo. Nilichangia harusi ya binamu yangu mwingine bila hata kuulizwa. Mwaka uliofuata, nilikuwa mdhamini mkuu wa harusi ya jirani yetu. Watu walishangaa: “Si huyu alikuwa anatuomba mchango group kila wakati?”

Leo hii, mimi ndiye mtu wa kwanza kuitwa kwenye vikao vya harusi na matukio ya kijamii. Nina biashara yangu, na najipatia pesa halali kila siku. Najua wazi maisha yangu yamegeuka kwa sababu nilipata msaada wa kiroho kwa wakati sahihi.

Kama unajikuta kwenye hali ya kuwa muombaji kila mara, usijione mdogo. Badiliko linawezekana. Hali yangu ilibadilika kwa msaada wa Kiwanga Doctors.

Wasiliana nao:
 +255 763 926 750

SOMA ZAIDI

Post a Comment

Previous Post Next Post