" Mbowe Ashiriki Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Jijini Dodoma

Mbowe Ashiriki Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Jijini Dodoma

 Mbowe Ashiriki Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Jijini Dodoma

Mwenyekuti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ni miongoni mwa wageni wanaoshiriki hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17, 2025.

Mbowe Ashiriki Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Jijini Dodoma

Uzinduzi huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma, ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan

Post a Comment

Previous Post Next Post