🟢 NAFASI ZA MASOMO CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
🎓 NAFASI BADO ZIPO – JIUNGE SASA!
Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga – ESIS), kinapokea maombi ya kujiunga kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma kwa mwaka wa masomo unaoendelea.
🌍 ESIS ni chuo kinachotoa mafunzo ya kitaalamu kwa vitendo, kinacholenga kuzalisha wataalamu wa madini, mafuta na gesi wenye maarifa ya kisasa, uzoefu wa uhalisia na uwezo wa kushindana katika soko la ajira la ndani na kimataifa.
🟡 KOZI ZINAZOTOLEWA:
🔸 Exploration and Mining Geology
🔸 Petroleum Geology
📌 Hii ni fursa adhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne (Form Four) na kidato cha sita (Form Six) wanaotaka kujenga taaluma ya uhakika kwenye sekta ya madini.
📞 WASILIANE NASI:
✅ +255 765 434 604
✅ +255 687 434 617
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
📲 Tembelea pia mitandao yetu ya kijamii kwa maelezo zaidi: Instagram, TikTok na Facebook: @officialesis
🟢 CHAGUA ESIS – CHAGUA UBORA
🔰 “Quality is Our First Priority”
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment