
Hospitali moja kubwa jijini Dar es Salaam iliwahi kuandaa wasifu wa kifo kwa mgonjwa ambaye madaktari walithibitisha hakuwa na matumaini ya kupona tena. Wauguzi waliambiwa kuwa muda wowote wangehitajika kutoa taarifa rasmi ya kifo. Familia yake ilishaandaa jeneza na michango ya mazishi ilianza kutumwa. Lakini kwa mshangao wa kila mtu, mgonjwa huyo aliamka, akapata nafuu ya ghafla, na leo hii anaendesha biashara yake mwenyewe akiwa na afya tele.
Kwa wiki kadhaa, habari hii ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakijiuliza, “Huyu jamaa alifufuka?” Au “Ilikuwa bahati tu?” Hii ni hadithi isiyo ya kawaida, lakini kwa Hassan Mussa mwenyewe, aliyepitia masaibu hayo, anasema hiyo si bahati bali ni nguvu ya tiba ya mitishamba ya kweli.
Hassan Mussa (45), mkazi wa Tabata, alianza kuugua ghafla. Mwili wake ulianza kupooza upande mmoja, kifua kilianza kumbana, na presha yake ilikuwa haitabiriki. “Nilikuwa mtu wa nguvu, nafanya kazi yangu ya ujenzi, napiga shughuli bila kuchoka. Lakini siku moja tu, nikawa siwezi hata kunyanyua kikombe,” anasimulia.

Alikimbizwa hospitali na familia yake. Baada ya vipimo kadhaa, alilazwa chumba cha wagonjwa mahututi. “Nilisikia wauguzi wakisema hali yangu ni mbaya sana, daktari alikuja na kumwambia mke wangu aandae familia maana sitaamka,” anasema kwa sauti ya huzuni.
Anakumbuka jinsi mke wake alivyoangua kilio pembeni ya kitanda, huku ndugu zake wakihangaika kuchangisha pesa za mazishi. “Niliwaona wakiongea, wakiteta pembeni, nikajua mwisho wangu umefika.”
Siku tatu baadaye, akiwa hajitambui vizuri, rafiki yake mmoja wa karibu alifika hospitalini. “Alikuwa amepata habari kutoka kwa mke wangu. Aliponiona akanikumbatia, akalia. Kisha akamwambia mke wangu, ‘Hatuwezi kukaa tu tukingoja afe. Kuna mtu niliwahi kumpeleka ndugu yangu, naye aliamka kutoka hali kama hii. Tujaribu.’”
Ndipo walimwendea Kiwanga Doctors. Rafiki huyo alieleza hali ya Hassan, na wakapewa dawa ya mitishamba maalum ya kusafisha mwili na kuondoa balaa la kifo. “Mke wangu alinilisha ile dawa kwa mdomo kwa kutumia bomba laini hospitalini,” anasema Hassan.

Masaa 48 baada ya kupewa dawa hiyo, hali yake ilianza kubadilika. “Nilianza kujisikia moto mwilini, jasho lilinitoka sana. Siku ya pili nilifumbua macho kwa mara ya kwanza. Wauguzi walishangaa, mmoja alidondosha daftari alilokuwa amebeba. Daktari akasema, ‘Hii si sayansi tena, kuna nguvu nyingine hapa.’”
Siku ya tano, Hassan aliamka kabisa. Aliongea na akakumbatia mke wake. “Nilikuwa nimepoteza kilo nyingi, lakini akili yangu ilikuwa timamu. Mke wangu alilia sana, lakini safari hii ilikuwa ni machozi ya furaha.”
Baada ya wiki mbili aliruhusiwa kutoka hospitalini. Marafiki, familia, hata majirani hawakuamini. “Wengine walisema nilifufuka, wengine wakasema ni muujiza. Lakini mimi najua kilichoniokoa ni dawa ya mitishamba kutoka Kiwanga Doctors.”
Leo hii, Hassan ameacha kazi ya kubeba mizigo na sasa anamiliki duka lake la vifaa vya ujenzi. “Niliahidi nikipona sitarudi kufanya kazi ngumu tena. Nilijifunza thamani ya afya yangu. Nashukuru Mungu, na nawashukuru Kiwanga Doctors.”
Anawashauri watu wasiogope kutafuta tiba mbadala. “Wengine wanacheka hadi wapate matatizo. Mimi nilijua nimekwisha. Lakini sasa naishi, na kila siku ni ya kusherehekea.”
Kwa wale waliokata tamaa au wanaopitia changamoto za kiafya ambazo hospitali haziwezi kutatua, Hassan anasema, “Msingoje hadi mjeandikiwa wasifu wa kifo kama mimi. Tafuteni msaada mapema. Kiwanga Doctors walinisaidia, wanaweza kukusaidia pia.”
Kwa mawasiliano na Kiwanga Doctors, piga simu kwa +255 763 926 750 au watembelee ofisi zao.
SOMA ZAIDI
Post a Comment