Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 28 Julai 2025, Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine, imepitia na kujadili majina ya wanachama wa CCM walioomba kupendekezwa kushiriki katika mchakato wa kura za maoni ndani ya chama hicho.
Kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 105(7)(f) ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la Julai 2025, Kamati Kuu imeidhinisha majina ya wanachama wafuatao kutoka Mkoa wa Shinyanga, ambao watashiriki katika kura za maoni kwa mujibu wa Kanuni na Kalenda ya CCM:
MKOA WA SHINYANGA
(i) Jimbo la Shinyanga Mjini
-
Ndugu Stephen Julius MASELE
-
Ndugu Patrobas Paschal KATAMBI
-
Ndugu Abubakar Gulamhafiz MUKADAM
-
Ndugu Eustard Athanace NGATALE
-
Ndugu Hassan Athuman FATIU
-
Ndugu Hosea Muza KARUME
-
Ndugu Paul Joseph BLANDY
(ii) Jimbo la Kishapu
-
Ndugu Lucy Thomas MAYENGA
-
Ndugu Boniphace Nyangindu BUTONDO
-
Ndugu Bonda William NKINGA
-
Ndugu Dotto Salum KWIGEMA
-
Ndugu George Martine JIMISHA
-
Ndugu Madaha Mayega CHABBA
-
Ndugu John Ngano NHYAMAH
(iii) Jimbo la Solwa
-
Ndugu Ahmed Ally SALUM
-
Ndugu Sosthenes Julius KATWALE
-
Ndugu Selemani Emmanuel CHOKALA
-
Ndugu Zinguji Mayala MACHWELE
-
Ndugu Leonard Nduta LUKANYA
-
Ndugu Alphistone Michael BUSHI
-
Ndugu Constantine Joseph BUDAGA
(iv) Jimbo la Itwangi
-
Ndugu Azza Hillal HAMAD
-
Ndugu Chrispine Myeke SIMONI
-
Ndugu Sebastian Pastory MALUNDE
-
Ndugu Fred Romanus SANGA
-
Ndugu John Elias NTALIMBO
-
Ndugu Christian Misobi BUDOYA
-
Ndugu Helena Daudi MBULI
-
Ndugu Anna James NG’WAGI
(v) Jimbo la Kahama Mjini
-
Ndugu Sweetbert Charles NKUBA
-
Ndugu Francis Fikili MIHAYO
-
Ndugu Jumanne Kibela KISHIMBA
-
Ndugu James Daudi LEMBELI
-
Ndugu David Anyandwile KILALA
-
Ndugu Juliana Kajala PALLANGYO
-
Ndugu Benjamini Lukubha NGAYIWA
(vi) Jimbo la Ushetu
-
Ndugu Emmanuel Peter CHEREHANI
-
Ndugu Valelia Wilson MWAMPASHE
-
Ndugu Mussa Shilanga MISUNGWI
-
Ndugu Machibya Mwambilija DOFU
(vii) Jimbo la Msalala
-
Ndugu Mabula J. MAGANGILA
-
Ndugu Ezekiel MAIGE
-
Ndugu Ambrose N. NAKALE
-
Ndugu Ramadhani SHIGANZA
-
Ndugu Edson Simba MASONDOLE
-
Ndugu Simon James LUFEG
Post a Comment