Mambo ni magumu ndani ya yanga na Prince dube
Mshambuliaji Prince Dube na mwanasheria wake wamefungua kesi kwenye mamlaka za mpira baada ya kutolipwa fedha zake za usajili kama walivyokubaliana na Yanga
Dube alidai mara kadhaa bila mafanikio
Next: anaweza kuvunja mkataba wake uliobaki
Post a Comment