KARIBU CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA)
Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2023, Tanzania imeongoza kwa kasi ya ukuaji katika sekta ya sanaa na michezo ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Sekta hiyo nchini imekua kwa wastani wa 17.7%, kiwango kinachozidi mara mbili ukuaji wa Kenya (8.8%) na mara tatu ya Uganda na Rwanda (7% kila moja).
Katika filamu pekee, zaidi ya watu 30,000 waliweza kupata ajira mwaka huo. Aidha, idadi ya wasanii waliosajiliwa ilifikia zaidi ya 1,000, ikiwa ni juu zaidi ikilinganishwa na mataifa jirani kama Uganda na Rwanda.
Kwa mujibu wa taarifa, baadhi ya sababu zilizochangia mafanikio haya ni:
Kupunguzwa kwa ada na masharti ya vibali kwa wasanii na watayarishaji
Kupanuliwa kwa mifumo ya usambazaji wa kazi za sanaa, ndani na nje ya nchi
Ushirikiano kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi katika kukuza ubunifu
Ukuaji huu unaibua maswali ya msingi kuhusu mustakabali wa sekta hii: Je, Tanzania itadumisha nafasi yake kama kinara? Na je, fursa hizi zinawafikia kwa usawa wasanii wa mikoani kama wale wa mijini?
Post a Comment