" CCM YAMWAMINI NDG. JOHN STEPHANO LUHENDE, YAMTEUA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKENE

CCM YAMWAMINI NDG. JOHN STEPHANO LUHENDE, YAMTEUA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKENE

NDG. NDG. JOHN STEPHANO LUHENDE MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKENE WILAYA YA NZEGA MKOANI TABORA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025
Na. Elias Gamaya (NZEGA - TABORA)

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi Ndg. John Stephano Luhende kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bukene, Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

 Uteuzi huu unaonesha imani kubwa ya CCM kwa Ndg. Luhende kutokana na uwezo na dhamira ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Bukene.

Wananchi pamoja na wadau wa siasa wameelekeza macho na masikio yao Bukene, wakisubiri kushuhudia namna atakavyoendeleza dhamira ya CCM ya kuwaletea maendeleo wananchi kupitia ilani ya chama hicho, huku akiiongoza safari ya ushindi katika uchaguzi ujao.




 

 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post