" MADINI NI FURSA – ANZA SAFARI YAKO NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)

MADINI NI FURSA – ANZA SAFARI YAKO NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)




📢 MADINI NI FURSA – ANZA SAFARI YAKO NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)

🌍 Earth Sciences Institute of Shinyanga

Tunapenda kukujulisha kuwa udahili kwa ngazi ya CHETI na DIPLOMA bado unaendelea katika kozi zifuatazo:
Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)

✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)

🎯 Fursa hii ni ya kipekee kwani wanafunzi wenye sifa za kitaaluma hupata mkopo wa serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

👉 Usikose nafasi yako ya kusoma taaluma inayokuhakikishia ajira na kipato cha uhakika.

🌐 Apply Now: www.esis.ac.tz
📞 Help Desk:
+255 687 434 617 | +255 765 434 604


GUSA LINK HAPA CHINI👇


Post a Comment

Previous Post Next Post