" CHAMA CHA USHIRIKA MGUSU MKOANI GEITA WAPEWA TUZO YA HESHIMA

CHAMA CHA USHIRIKA MGUSU MKOANI GEITA WAPEWA TUZO YA HESHIMA

MGUSU YAJIPATIA  TUZO YA ESHIMA.

Chama cha Wachimbaji wadogo Madini Mgusu kilichopo Mkoani Geita kimepewa tuzo ya Heshima kwa kutambua Mchango Mkubwa Unaofanywa na Chama hicho tuzo hiyo Imetolewa na kwenye Sekta ya Madini kutambua kazi kubwa zinazofanywa na Chama hicho.

Tuzo hiyo Ilitolewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassimu Majaliwa Majaliwa Jijini Dar es salaam Viwanja vya Mnazi Mmoja 15/8/2025 Waziri Mkuu alisema Moja ya Chama cha  Ushirika Mgusu kinafanya  Vizuri Kwenye ulipaji Kodi Ni Mgusu, Hivyo Sisi Kama Serikali tunatambua Mchango wao na tutaendelea Kuwapa Ushirikiano  Kama Serikali alisema Majaliwa 

AkikabidhiTuzo hiyo Dolini Mwandi  Ambaye ni msajili wa vyama vya Ushirika Mkoani Geita Kwa niaba ya Waziri Mkuu alisema Tuzo hiyo Ilitolewa Katika  kilele cha Maadhimisho ya Siku ya vyama vya Ushirika.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika Musabile  Modest alitoa Pongezi kwa selikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutambua Mchango wao Kama Wachimbaji  Tuzo hui Itaendelea kutupa  Motisha ya Kufanya kazi na kuendelea Kutoa ushirikiano kwa selikali .

Lakini Pia Naye Zachalia Kalala ambaye Ni katibu wa Mgodi wa Mgusu “alisema Wao Kama Wachimbaji wa Mgusu Mhe. Rais aliwapa  Lessen 20 za Uchimbaji hiyo hatuna  Deni na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassani Kikubwa Mwezi10 Tarehe 29 /10 /2025 tunaenda  Kumchagua kwa Kura zote za Ndio, Kwa Maana aliyoyafanya yanaonekana kwetu Sisi alisema Zachalia.



Post a Comment

Previous Post Next Post