📢 CHUO CHA MADINI SHINYANGA (EARTH SCIENCES INSTITUTE OF SHINYANGA – ESIS) kinapokea wanafunzi wapya kwa ngazi ya CHETI na DIPLOMA.
✨ KOZI ZINAZOTOLEWA:
✅ Uchimbaji na Utafutaji Madini (Exploration and Mining Geology)
✅ Jiolojia ya Mafuta na Gesi (Petroleum Geology)
✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)
👉 Jiunge leo upate elimu bora itakayokuwezesha kujiajiri au kuajiriwa kwenye sekta ya madini, mafuta na gesi.
📍 Udahili unaendelea – nafasi ni chache!
Tuma maombi yako sasa kupitia: 🌐 www.esis.ac.tz
📞 MAWASILIANO:
+255 765 434 604 | +255 766 405 653 | +255 687 434 617
ESIS – QUALITY IS OUR FIRST PRIORITY!
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment