CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS) kinapokea wanafunzi kwa ajili ya udahili wa ngazi ya Cheti na Diploma katika kozi zifuatazo:
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
🟨 Tailor Made Short Courses, (Kozi Maalum za Muda Mfupi kwa mahitaji ya wadau wa sekta ya madini na mafuta).
🌍 Madini na gesi ni sekta zenye fursa kubwa za ajira na biashara. Hii ndiyo nafasi yako ya kuanza safari ya kitaaluma na kujiandaa kwa maisha bora yenye mafanikio.
🎓 Faida za kusoma ESIS
✔ Elimu ya vitendo (Practical Oriented Learning)
✔ Mikopo ya serikali kwa wanafunzi wenye sifa
✔ Walimu wenye uzoefu mkubwa wa kitaaluma na kiutendaji
✔ Ushirikiano na sekta ya madini na mafuta
👉 Usikose fursa hii! Udahili unaendelea.
Jiunge leo na ujenge mustakabali wako na ESIS – Chuo cha Madini Shinyanga.
📲 Apply Now: www.esis.ac.tz
📞 Help Desk: +255 765 434 604 | +255 687 434 617
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment