" JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA UPATE ELIMU BORA NA FURSA ZA AJIRA ZA UHAKIKA

JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA UPATE ELIMU BORA NA FURSA ZA AJIRA ZA UHAKIKA

 JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA UPATE ELIMU BORA NA FURSA ZA AJIRA ZA UHAKIKA

CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS) kinakukaribisha kujiunga na kozi zetu bora zinazokupa ujuzi wa kitaalamu na fursa za uhakika wa ajira.

Mazingira Bora ya Kusomea
Walimu Wenye Uzoefu na Uweledi
Kozi Bora Zenye Soko la Ajira

KOZI ZINAZOTOLEWA:

  1. Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)

  2. Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi)

  3. Kozi za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses)

👉 Udahili unaendelea kwa ngazi ya Cheti na Diploma.
👉 Wanafunzi wenye sifa watapata nafasi ya mkopo wa serikali.

🌐 Tuma Maombi Sasa: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi: +255 765 434 604 | +255 687 434 617

ESIS – Elimu Bora, Mustakabali Bora!

GUSA LINK HAPA CHINI👇


Post a Comment

Previous Post Next Post