" Mahakama Yazuia Kurushwa Mubashara Ushahidi Kesi ya Tundu Lissu

Mahakama Yazuia Kurushwa Mubashara Ushahidi Kesi ya Tundu Lissu

 

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekubali ombi la Jamhuri la kuzuia urushaji, utangazaji, na usambazaji wa moja kwa moja (mubashara) wa mwenendo wa mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hadi itakapoamuliwa vinginevyo. Ombi hilo la Jamhuri liliwasilishwa ili kulinda utambulisho wa mashahidi wa kiraia.

Mahakama imesema mtu au chombo chochote cha habari kitakachokiuka amri hiyo kitachukuliwa hatua stahiki kisheria.


Post a Comment

Previous Post Next Post