
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi wakionesha begi la fomu za uteuzi baada ya kukabidhiwa na Tume leo Agosti 15,2025.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for
Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis. Mgombea
huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi
(kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya
uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na
INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,
Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu
za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo
Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa
Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.
(Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele. 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza wakati wa utoaji fomu za uteuzi.
Wagombea wakiwa ukumbini.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR MAGEUZI Joseph Roman Selasini Shao akifuatilia matukio. 
Post a Comment