Jesca alikuwa binti mzuri mwenye heshima na tabasamu la kuvutia, mzaliwa wa Mwanza. Tangu akiwa mdogo, ndoto yake kubwa ilikuwa kuanzisha familia yenye furaha – kuwa na mume mwenye mapenzi ya dhati na watoto ambao wangeikamilisha furaha yake. Lakini kadri miaka ilivyozidi kusonga, ndoto hiyo ilianza kumponyoka taratibu.
Wakati marafiki zake wa karibu wakiolewa mmoja baada ya mwingine, Jesca alibaki akiwa shahidi wa furaha yao bila yeye mwenyewe kuonja ladha ya ndoa. Alipofikisha miaka 27, watu wa karibu na hata familia yake walimwona bado ana nafasi kubwa ya kuolewa. Lakini alipovuka miaka 30, shinikizo likazidi. Mama yake mara kwa mara alimwambia: “Jesca mwanangu, mbona muda unazidi kusonga? Hivi unategemea nini tena?”

Jesca alijaribu mara kadhaa kuingia kwenye mahusiano. Alikutana na wanaume wengi – baadhi walionekana wazuri mwanzoni lakini waligeuka kuwa wachepukaji; wengine walikuwa hawana dhamira ya kuoa, bali walitaka starehe tu. Wengine walimkatisha tamaa kwa kumwambia wazi kuwa hakuwa mke wa ndoto zao. Alilia machozi mengi usiku akiwa kitandani, akijiuliza kwa nini bahati ya mapenzi ilikuwa ikimkwepa.
Miaka ikazidi kusonga, Jesca sasa akiwa na miaka 34, alihisi moyo wake umechoka. Wakati fulani aliwaza kuachana kabisa na ndoto ya kuwa mke na mama, na badala yake aelekeze nguvu zake zote kwenye biashara ndogo aliyokuwa ameianzisha. Lakini moyoni, alijua bado anatamani kushirikiana maisha na mtu wa kumpenda na kumheshimu.
Siku moja akiwa sokoni Mwanza, alipokutana na jirani yake wa zamani aitwaye Miriam, walikaa kuzungumza kwa muda mrefu. Miriam alimsikiliza Jesca akieleza changamoto zake za kimapenzi. Kisha Miriam akasema kwa sauti ya kujiamini:
“Jesca, usijichoshe kwa huzuni. Kuna watu wengi wamepitia changamoto kama zako na wakapata suluhisho. Kuna mganga wa tiba asili anayeitwa Kiwanga Doctors. Watu wengi wamemsifu – wengine walisema walipata wachumba, wengine walipata kazi, wengine walitatua migogoro ya kifamilia. Jaribu bahati yako, huwezi jua.”

Mwanzoni Jesca hakutaka kuamini. Alifikiri labda ni hadithi za kupoteza muda. Lakini kadri alivyofikiria maisha yake yalivyokuwa, moyo wake ulimpeleka pale pale. Hatimaye aliamua kufanya uamuzi wa kutembelea Kiwanga Doctors.
Alipofika, alikaribishwa kwa heshima kubwa. Mazingira yalikuwa tulivu na ya kumtia matumaini. Jesca alimueleza Kiwanga shida yake: miaka mingi ya kusaka mume bila mafanikio. Kiwanga Doctors alimsikiliza kwa makini, akamfariji na kumwambia kwamba kila jambo lina suluhu.
Kwa kutumia tiba asilia na maombi ya kiutamaduni, Kiwanga Doctors alimpa Jesca dawa na maelekezo ya kiimani ya kufuata. Jesca alihimizwa kuwa na imani, subira na moyo wa matumaini. Alihisi moyo wake ukipata amani aliyokuwa hajawahi kuipata kwa muda mrefu.
Cha ajabu ni kwamba ndani ya muda wa wiki nne tu, maisha ya Jesca yalibadilika. Alikutana na mwanaume mmoja, James, ambaye alionekana tofauti kabisa na wale aliowahi kuwa nao. James alikuwa na heshima, mwenye kazi nzuri na alikuwa tayari kuoa. Zaidi ya yote, alionyesha mapenzi ya dhati na Jesca tangu mwanzo.
Mahusiano yao yalikuwa ya kasi lakini yenye utulivu. James hakupoteza muda, alimtambulisha Jesca kwa familia yake, na ndani ya miezi michache walichumbiana rasmi. Ndugu na marafiki wa Jesca walishangaa kwa furaha kubwa kuona kile kilichodhaniwa hakiwezekani sasa kimekuwa kweli. Hatimaye, baada ya miaka mingi ya mateso ya moyo, Jesca alifunga ndoa na James katika sherehe ya kupendeza.
Leo hii, Jesca anaishi maisha ya ndoa yenye furaha, akishirikiana ndoto na mume wake. Kila mara anapokumbuka safari yake ya mateso na changamoto, moyo wake hujaa shukrani kwa uamuzi wake wa kumtafuta Kiwanga Doctors. Kwa msaada wa matatizo ya mapenzi, familia, kazi au maisha kwa ujumla, unaweza kuwapata Kiwanga Doctors kwa simu namba +255 763 926 750.
SOMA ZAIDI
Post a Comment