" RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KINACHOTEUA WAGOMBEA UBUNGE

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KINACHOTEUA WAGOMBEA UBUNGE


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,kilichoketi leo Agosti 21,2025 Jijini Dodoma kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge wa Viti Maalum,Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Viti Maalum. 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post