" Rais Samia: Mchakato Katiba Mpya kuanza ndani ya Siku 100

Rais Samia: Mchakato Katiba Mpya kuanza ndani ya Siku 100

 

Mgombea urais CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema ndani ya siku 100 za mwanzo akipewa ridhaa ya kuongeza nchi, kupitia Falsafa ya R4 wataendelea mashauriano na wadau wa siasa, taasisi za kiraia na sekta za binafsi kwa kuunda tume ya kuanzisha mazungumzo ya maridhiano na upatanishi na kuandaa mazingira ya kuanza mchakato wa Katiba Mpya.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post