" Refa Aliyekataa Goli la Aziz Yanga Kusimamia VAR Taifa Stars Vs Morocco

Refa Aliyekataa Goli la Aziz Yanga Kusimamia VAR Taifa Stars Vs Morocco

 

Mwamuzi wa Kimataifa wa Mauritania,Dahane Beida ndiye atakayekuwa kwenye chumba cha VAR kwenye mchezo kati Tanzania dhidi ya Morocco hapo kesho.

Refa Dahane ndiye aliyekataa goli la Yanga dhidi ya Mamelodi lakini pia alichezesha mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post