" Klabu ya PSG Imeshinda Tuzo ya Timu Bora ya Mwaka 2025, Luis Enrique Kocha Bora Ballon d’Or

Klabu ya PSG Imeshinda Tuzo ya Timu Bora ya Mwaka 2025, Luis Enrique Kocha Bora Ballon d’Or

 

Klabu ya Paris Saint-German imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka 2025 kwenye hafla ya tuzo ya Ballon d’Or huko Paris huku kocha wa Timu hiyo, Luis Enrique akitwaa tuzo ya Kocha Bora wa Dunia mwaka 2025.

Enrique amepata mafanikio makubwa msimu uliopita akiongoza PSG kutwaa ubingwa wa Ligue 1, taji la Klabu Bingwa Ulaya, na Uefa Supercup.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post