" Kocha Nasreddine Mohammed Nabi Atimuliwa Kaizer Chiefs

Kocha Nasreddine Mohammed Nabi Atimuliwa Kaizer Chiefs

 

Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Mohammed Nabi, amefukuzwa rasmi leo asubuhi kufuatia matokeo mabaya ya klabu ya Kaizer Chiefs. Uamuzi huu umefuatia kichapo cha mabao 3-1 walichopata kutoka kwa Sekhukhune United hapo jana. Wasaidizi wake watachukua jukumu la kukiongoza kikosi, huku taarifa zikidai kuwa anakosa kigezo cha kuwa kocha mkuu anayeweza kukaa kwenye benchi kwenye michuano na CAE.
Kaizer Chiefs wanashiriki kombe la shirikisho baada ya kuwa mabingwa vwa kombe NEDBANK na mwishoni mwa juma inaenda kucheza na Kapuscorb ya Angola.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post