" UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA UYOLE KUFANYIKA SEPTEMBA 13,2025

UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA UYOLE KUFANYIKA SEPTEMBA 13,2025


Na Lydia Lugakila 

Mbeya

Kampeni katika jimbo la Uyole zinatarajiwa kuzinduliwa rasmi mnamo septemba 13,2025 katika uwanja wa Shule ya Msingi Hasanga kuanzia majira ya saa 02:00 Asubuhi.

Aidha wananchi wote wamehimizwa kujitokeza kwa wingi ili kuwasikiliza viongozi wagombea.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post