🔥 WIMBO MPYA UNAKUJA! 🔥
Usikose kutazama wimbo KIONGOZI BORA unaozinduliwa KESHO tarehe 27 SEPTEMBA 2025 saa 10:00 Asubuhi! 🌅
🎶 Wimbo huu utakugusa na kukupa hamasa ya kuchagua viongozi bora na kuishi maisha yenye maadili.
👉 SUBSCRIBE sasa kwenye YouTube channel yetu Misalaba Media ili uwe wa kwanza kuutazama mara tu utakapochapishwa.
💛 Jiandae kwa kitu kipya na cha kipekee!
📌 Bonyeza link na jiunge nasi sasa!
Post a Comment