Mgombea Udiwan kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kata ya Luchelele Mpanju Elipidius ameendelea kuhamasisha wananchi wa kata ya Luchelele Nyumba kwa Nyumba siku ya Tarehe 7 kujitokeza kwa Wingi Kumpokea Mhe,Dkt Samia Suluhu Hassan maeneo ya Buhongwa wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza ziala hiyo. Lakini pia kuhamasisha Siku ya 29 October Mwaka huu wakapige kura kwa kuchagua viongozi wa Chama ngazi ya Diwan Mbunge na Rais🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA



Post a Comment