AIC Kambarage Choir inakutakia Baraka Tele wewe na familia yako kwa kipindi cha wiki nzima tuliyoianza siku ya leo.
Wiki hii yote, Bwana na akutane na Haja ya Moyo wako.
Na pia, kwa pamoja tuendelee kuombea Ibaada hii ya USIKU WA SHUKURANI 2026 - BARAKA TELE🔥
👌🏽Sisi tunakukaribisba uungane nasi kumrudishia Mungu Shukurani za Mioyo yetu kwa kuchangia chochote ulichojaaliwa kupitia Namba za kwaya zinazotajwa kwenye mitandao yetu.
USIKU WA SHUKURANI (Season II) 2026 - ABUNDANT BLESSINGS 💪🏿
Kanda ya Ziwa yote na Mkoa Mzima wa Shinyanga tutakutana sehemu moja tu…
📅 Ijumaa, 30 January 2026
📍 AICT Kambarage Church-Shinyanga, Tanzania.
⏱ 1:00 Usiku - 12:00 Asubuhi
👏👏HAKUNA KIINGILIO!👏👏
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6MmfY3QxS6v5CEDc2S
#Usikuwashukurani
#Abundantblessings
#Barakatele
#Aickambaragechoir
#WorshipTanzania
#gospeltrends
#wakatinisasa

Post a Comment