AIC KAMBARAGE CHOIR
inakukaribisha katika Ibada ya kesho Jumapili trh 16.11. 2025 kuanzia saa 1:00 asubuhi hadi saa 6:00 mchana katika kanisa la Uaskofu AICT Kambarage-Shinyanga.
Karibuni nyote tuungane kumsifu na Kumuabudu Mungu kwa kuwa yeye pekee ndiye astahiliye kuabudiwa.
Beba Biblia yako, usisahau Zaka na Sadaka yako. Kusifu kunawapasa wanyofu wa Moyo…
Tafadhali endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii kwa jina la @aickambaragechoir
Na usiache ku-follow, like, comment, share na ku-subscribe
- Youtube
- Twitter(X)
- Tiktok
- Audiomack
- Thread
- Whatsapp Channel
Kwa Mawasiliano zaidi;
- P.O Box: 53 - Shinyanga, Tanzania.
- Phone:+255(0)685788063-Aic Kambarage Choir
- Mail: kambaragechoir@yahoo.com
CHANGIA MAENDELEO YA KWAYA KUPITIA
- Phone:+255(0)685788063-Aic Kambarage Choir
- Lipa Namba: 65 879 300 - Aic Kambarage Choir
- TCB Bank:290218000330-Aic Kambarage Choir
https://whatsapp.com/channel/0029Vb6MmfY3QxS6v5CEDc2S
https://whatsapp.com/channel/0029Vb6MmfY3QxS6v5CEDc2S
#wakatinisasa
KARIBUNI WATU WOTE
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

Post a Comment