" RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA

RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA





Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba miongozo ya utendaji kazi mara baada ya kumuapisha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025. Matukio mbalimbali wakati wa uapisho wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 14 Novemba, 2025.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 14 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 14 Novemba, 2025.





Post a Comment

Previous Post Next Post