" CAF Wanyanyua Mikono kwa Ibrahim Bacca

CAF Wanyanyua Mikono kwa Ibrahim Bacca

 

Ibrahim Bacca ameingia kwenye macho ya wengi mara baada ya CAF kumtaja kuwa mchezaji wa Tanzania anayefaa kutazamwa zaidi kutokana na kiwango chake cha juu katika mechi za kufuzu AFCON 2025.

Sio Bacca peke yake Hussein pia ameshikilia nafasi yake kikamilifu na wote wamecheza dakika zote 90 katika mechi zote 6 za kufuzu Hii inathibitisha jinsi walivyo nguzo muhimu ndani ya kikosi cha Taifa.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment

Previous Post Next Post