Na Mwandishi wetu, Misalaba Media Chama Cha Ushirika Mgusu Minel's kilichopo Mkoani Geita kimefunga Mkutano Mkuu wa Mwaka kwa kufanya Tasmin ya Mapato na matumizi na mwenendo wa chama hicho.Akizungumza katika kikao hicho katibu Mkuu Zachalia Kalala amesema chama hicho kimefanya makubwa Ikiwemo na kupata tuzo Iliyotolewa kutokana na Jitihada ya chama hicho hivvyo basi yeye kama mtendaji amejipanga kuhakikisha chama hicho kinafanya Vizuri 2026 Kalala.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment