Leo, Desemba 9,
Watanzania wanaadhimisha miaka 64 ya Uhuru
wa Tanzania Bara, siku muhimu inayokumbusha hatua kubwa za maendeleo,
umoja na mshikamano zilizojengwa tangu mwaka 1961.
Misalaba Media inawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya Uhuru, ikisisitiza
umuhimu wa kuendelea kulinda amani, kudumisha uzalendo na kutanguliza maslahi
ya Taifa.
Uhuru ni zawadi ya thamani iliyopatikana kupitia jitihada, uongozi na maono ya
waasisi wa Taifa, hivyo kizazi cha leo kina wajibu wa kuuthamini kwa kufanya
kazi kwa bidii na kuunga mkono juhudi za maendeleo.
Misalaba Media inawapongeza Watanzania
kwa kudumisha umoja na amani kwa zaidi ya nusu karne, ikisema:
“Happy Independence
Day – Tanzania Kwanza, Daima Mbele!”
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment