" HESHIMUNI VIVUKO VYA WATEMBEA KWA MIGUU

HESHIMUNI VIVUKO VYA WATEMBEA KWA MIGUU


Madereva wa pikipiki maarufu kama boda boda ndani ya Manispaa ya Shinyanga wamepatiwa elimu ya kuzingatia Sheria ya usalama barabarani ikiwa ni pamoja na kuheshimu vivuko vya watembea kwa miguu.

Elimu hiyo imetolewa na Askari Polisi wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila ambapo amewaeleza kuwa tabia ya kutoheshimu watumiaji wengine wa barabara ndio chanzo Cha ajali za mara Kwa mara kitu amabcho kinaleta picha mbaya kwenye kazi yao.

Aidha Sajenti Ndimila amewataka madereva hao kuendelea kukanyana wao Kwa wao ili kulomesha tabia hiyo.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post