Edwin SokoMwanza Tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) imefuta udahili wa wanafunzi wapya wa Mwaka wa kwanza walio dahiliwa katika chuo kikuu cha afya,Mwanza ( MzU) akizungumza na waandishi wa habari Jijini Mwanza pamoja na wajumbe wa bodi ya chuo hicho.Katibu Mtendaji.wa tume ya vyuo vikuu Tanzania. Charles Kihampa. amesema.tume imestisha kibali cha udahili na usajili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Udaktari wa Binadamu kwa chuo kikuu cha Mwanza.(MzU) katika mwaka wa Masomo wa 2025-2026 usitishwa huo unatokana na chuo kushindwa kuzingatia maelekezo.ya tuma.kwa kudahili na kusajili idadi kubwa ya wanafunzi kuliko ile iliyoidhinishwa aidha Kihampa amesema chuo hicho kitaendelea kutoa mafunzo kwa wanafunzi wengine wa naoendelea na masomo.pia amesema tume imetoa kibali cha kuwa fursa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaodahiliwa kusajiliwa na kuripoti chuoni hapo kuomba kuhamia vyuo vingine vilivyoruhusiwa kudahili wanafunzi.katika programu ya Udaktari wa Binadamu.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254




Post a Comment