Leo ndiyo siku
iliyosubiriwa kwa hamu—TAMASHA LA USIKU WA SHUKURANI!
Kwa moyo wa furaha na shukrani, AIC Kambarage Choir inawakaribisha
watu wote kuungana nasi usiku wa sifa, ibada, maombi na shukrani za dhati kwa
Mungu kwa yote aliyotutendea.
Njoo tushuhudie BARAKA TELE, tukimrudishia Bwana
utukufu na kupokea yale aliyotutayarishia.
Hakuna kiingilio — wote mnakaribishwa!
📍 AIC Kambarage
Church – Shinyanga
⏱️ Kuanzia
saa 1:00 usiku hadi asubuhi
Karibu sana, usikose! 🙌🔥





Post a Comment