" Msumbiji Waweka Rekodi ya Kupigwa Bao Nyingi AFCON 2025

Msumbiji Waweka Rekodi ya Kupigwa Bao Nyingi AFCON 2025

 

AFCON 2025 | MOROCCO 🇲🇦

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 :

NIGERIA 🇳🇬 4-0 MOZAMBIQUE 🇲🇿
⚽️ 20” Lookman
⚽️ 25” Osimhen
⚽️ 47” Osimhen
⚽️ 75” Adams

Nigeria ndio timu inayoongoza kutoa vichapo haijwahi kufungwa wala droo , Msumbiji ndio timu iliyokula kichapo kikubwa hadi sasa

LOOKMAN ana kila dalili za kuwa mchezaji bora wa mashindano labda mambo yabadilike mbeleni

 

Post a Comment

Previous Post Next Post