Mtoto wa aliyekua mbunge wa jimbo la peramiho marehemu JENISTA MHAGAMA ,Victor Mhagama ameongoza kura za maoni katika uchaguzi wa ndani wa chama cha mapinduzi (CCM) jimboni humo baada ya kupata kura 3040 kati ya kura 9167 akiwashinda wagombea wengine Ishirini na sita Akizungumza baada ya kutangaza matokeo hayo ,katibu wa ccm wilaya ya songea vijijini Juma Nambaila amesema kuwa hatua hiyo ni mwanzo ,huku mchakato wa kumpata mgombea rasmi wa chama ukiendelea katika ngazi mbalimbali za chama kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa

Post a Comment