🙏Kila pumzi ni neema, kila hatua ni rehema. Maandalizi ya Usiku wa Shukrani yanaendele, safari ya shukrani, ibada na Baraka Tele. Tarehe 30/01/2026.Tazama picha mbalimbali AIC Kambarage Choir wakihudumu katika Ibada ya Jumapili ya leo, tarehe 21/12/2025 katika Kanisa la AIC Kambarage mjini Shinyanga.


Tunawakumbusha wapendwa wote kuendelea:
✅ Kununua tisheti na sweta rasmi za USIKU WA SHUKURANI kama sehemu ya kuunga mkono maandalizi ya tukio
✅ Kujitokeza kama wadhamini—taasisi, kampuni na watu binafsi—kwa ajili ya kufanikisha Tamasha la USIKU WA SHUKURANI linalotarajiwa kufanyika Januari 30, 2026, katika Kanisa la AIC Kambarage, Mjini Shinyanga kuanzia Saa 1:00 Usiku – 12:00 Asubuhi
USIKU WA SHUKURANI (Season II) 2026 – ABUNDANT BLESSINGS 💪🏿
Kanda ya Ziwa yote na Mkoa mzima wa Shinyanga tutakutana sehemu moja tu kwa ajili ya usiku wa sifa, shukrani, kuabudu na maombi.
👏👏 HAKUNA KIINGILIO! 👏👏
📞 MAWASILIANO – TISHETI & UDHAMINI
Kwa yeyote anayehitaji tisheti au sweta za Usiku wa Shukurani, au anayependa kushiriki kama mdhamini:
📱 +255 685 788 063 – AICT Kambarage Choir
📍 Wauzaji – Shinyanga:
• Majengo & Mjini: Leonadia – +255 614 028 803
• Kambarage & Ndala: Abel – +255 628 495 081














Post a Comment