" Senegal Yapigwa Fine Bilioni 1.5

Senegal Yapigwa Fine Bilioni 1.5

 

shirikisho la soka nchini Senegal limepigwa f faini ya dola 300,000 [TSh. Milioni 76O ] kwa utovu wa nidhamu uliofanywa na mashabiki

Hapo hapo kuna Dola 300,000 nyingine pia [Tsh 760 Milioni ] kwa tabia ya utovu wa nidhamu kwa wachezaji wake na wafanyakazi wa benchi la ufundi.

Wametozwa pia faini ya Dola 15,000 ambayo inafanya jumla iwe Dola 615 ,000 sawa na [ Tsh Bilioni 1.5]

Post a Comment

Previous Post Next Post