Abiria wa masafa marefu wamepatiwa elimu kuhusu kutoa taarifa pindi wanapobaini makosa ya usalama barabarani yafanywayo na dereva au kondakta hasa nyakati za usiku.Akitoa elimu hiyo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila amewaeleza Abiria kuwa hata kama ni usiku watambue mamlaka husika hazijalala bali watoe ushirikiano ili kuweza kuzuia vitendo visivyo faa kuepusha ajali zisizo za lazima Sajenti Ndimila ameelezea baadhi ya makosa yanayotendeka mara Kwa mara ikiwa ni pamoja na mwendokasi, kuyapita Magari mengine sehemu hatarishi, ubovu wa gari pamoja na kuzidisha abiria kwenye gari
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment