" Yanga Wamtambulisha Rasmi Allan Okello

Yanga Wamtambulisha Rasmi Allan Okello

 

Klabu ya Yanga imefanikiwa kunasa saini ya Nyota wa timu ya Taifa ya Uganda Allan Okello na kumtambulisha rasmi kama mchezaji wao akitokea timu ya Vipers ya Uganda.

Star boy Okello anakuja kuongeza nguvu katika nafasi ya Kiungo mshambuliaji ndani ya klabu hiyo.

Winga pacome Winga Okello Teka Depu 🤷‍♂️

Je unaipa asilimia Ngapi Yanga baada ya kumpata Okello ??

Post a Comment

Previous Post Next Post