" CONTENT YA MWISHO

CONTENT YA MWISHO

 

CONTENT YA MWISHO ni drama fupi inayofunua ukweli mchungu kuhusu nguvu ya taarifa zisizothibitishwa. Uvumi unaweza kuonekana kama maneno tu, lakini ukisambaa hubadilika kuwa hukumu. Na hukumu hiyo inaweza kuharibu heshima, kuvunja familia… hata kuua. Katika dunia ya mitandao ya kijamii, kila “share” ni sauti. Kila sauti ni mchango. Na kila mchango unaweza kuokoa au kuangamiza maisha ya mtu. 💔 Mis/Disinformation kills. 🛑 Before you share information — THINK. Teknolojia ni baraka, lakini bila utu inageuka silaha. Tazama. Tafakari. Badilika.

Post a Comment

Previous Post Next Post