" NGASA ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI SHULE YA MSINGI MAPERA WILAYA YA MBINGA

NGASA ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI SHULE YA MSINGI MAPERA WILAYA YA MBINGA


Na Mwandishi wetu, Misalaba Media 
Kuelekea uzinduzi wa WAILES SUPER CUP Mrisho Ngasa, mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vikubwa vya Yanga, Simba na Azam FC na kampuni ya Wailes company kwa pamoja wamemeshiriki zoezi la upandaji wa Miti katika shule ya msingi mapera 

Akizungumza mkurugenzi wa wailes company limited Ndugu Frank Ndunguru amesema lengo kuunga mkono sera ya Mhe.Rais samia ya upandaji miti kuhakikisha misitu inaimarika,ardhi inakua bora na kuwa miti ndo maisha yetu 

Kwa upande wake Mrisho Ngasa ameweza kutoa shukrani kwa mapokezi katika shule hiyo na kuahidi siku za usoni kuja kufanya jambo katika shule hiyo.

Post a Comment

Previous Post Next Post