
🔥 USIKOSE JUMAMOSI HII – 21 FEB 2026 🔥
🎭 SHY TALENT FILMS tunakuletea drama mpya yenye simulizi nzito, itakayogusa moyo wako, kukufungua macho na kukuacha na maswali mazito ya kutafakari.
Ni kisa cha maisha halisi…
Ni hadithi ya jamii yetu…
Ni ujumbe ambao huwezi kuupuuza.
⚠️ Je, ungechukua hatua gani kama ingekuwa wewe?
⚠️ Je, jamii iko tayari kukabiliana na ukweli?
🗓 Jumamosi hii
📍 Usiache kufuatilia
📲 Subscribe sasa kwenye channel yetu ya You Tube ili uwe wa kwanza kutazama.
@shytalentfilms
@misalabamedia
✨ Stay tuned… kitu kikubwa kinakuja! 🎬🔥
Hii ni drama ya kwanza inaitwa Mbuke, drama ya pili mpya inatoka Jumamosi hii.
Post a Comment