Na:- Belnardo Costantine, Misalaba MediaMbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Mh.Ibrahim Shayo maarufu amenusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Kirinjiko, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro.Ajali hiyo imetokea Februari 18, 2026 wakati Mbunge huyo akiwa katika ziara ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt Mwigulu Lameck Nchemba.Aidha katika Ajali hiyo imetajwa manusura wengine ni dereva, pamoja na katibu wa mbunge huyo waliokua katika gari Hilo.Hata hivyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Simon Maigwa, amesema kuwa bado hajapata taarifa rasmi za ajali hiyo, mesema anafuatilia Kwa taarifa zaidi kutoka Kwa RTO .“Nami nimesikia taarifa hiyo, nipeni muda nifuatilie kwa RTO, nitawarudia,” Kamanda Maigwa,🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254



Post a Comment