Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyashimbi iliyopo Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga wamepatiwa elimu ya usalama barabarani Kwa kuchukua tahadhari pindi wawapo katika mazoezi ya mchakachaka barabarani.Akitoa elimu hiyo Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Wilaya ya Kahama Koplo Zuhura Mlungwana amewaelimisha wanafunzi hao kujipanga upande wa kushoto wa barabara ikiwa ndio upande sahihi wa kukimbilia wakiwa katika mazoezi yao pamoja na kuwapanga washika vibendera mbele ya kundi na nyuma ili waweze kuongoza kundi hilo barabarani Koplo Zuhura amewasisitiza kujipanga mistari mitatu hadi minne wakati wa mazoezi ili kupunguza msongamano barabarani na kuepuka ajali pindi watakapo kanyagana na kuanguka.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

Post a Comment