
Klabu ya Simba imefanikiwa kumuuza nyota wake kiungo Mshambuliaji wa klabu hiyo Kibu Denis kwenda katika klabu ya @alnasser.ly baada ya taratibu zote za uhamisho kukamilika.
Kibu anaenda kuungana na nyota wenzake waliyowahi kukipiga katika klabu hiyo ambao ni Steven Mukwala pamija na kiungo Fabrice Ngoma.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
Post a Comment